Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA-, Mkusanyiko mkubwa wa Seminari ya Qom kwa ajili ya kulaani utawala haram wa Kizayuni na uungaji mkono kwa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran utafanyika kesho Jumanne, Juni 17, saa 4:30 asubuhi.
Mahali pa mkutano huu ni Seminari ya Faiziyah, na wanafunzi wa kiume na wa kike watahudhuria mkusanyiko huo.
Your Comment